Yesu Ndiye Mzabibu

[1]
Mimi ndimi mzabibu wa kweli
Na Baba yangu ndiye mkulima X2

[chorus]
Tawi ndani yangu lisilozaa
Nitaliondoa na kulitupa X2

[2]
Tawi lizaalo matunda mema
Husafishwa ili kuzaa mengi X2

[chorus]
Tawi ndani yangu lisilozaa
Nitaliondoa na kulitupa X2

[3]
Ninyi mmesafishwa kuwa safi
Kwa kuwa ninyi mko ndani yangu X2

[chorus]
Tawi ndani yangu lisilozaa
Nitaliondoa na kulitupa X2