NIPE MOYO SAFI

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

NIPE MOYO SAFI

[1]
Nipe moyo safi Bwana niingie Mbinguni,
Nipe moyo safi Bwana, nipe moyo safi,
Bwana niingie Mbinguni, kukaa milele nawe.

Niongoze katika safari, nishike mkono wangu
Nipe moyo safi Bwana ningie Mbinguni kukaa milele nawe.

[2]
Nipe mafuta, Roho wangu Mtakatifu
Nipe mafuta Bwana, nipe mafuta
Roho wangu Mtakatifu, kukaa milele nawe.

[3]
Pasipo Yesu mbinguni hatutaiona
Pasipo msalaba ule, pasipo Yesu
Mbinguni hatutaingia, kukaa milele nawe.