Lyrics
Font size:
Akiita, nitaitika X3
Nitasema nipo Bwanangu
Nitasema - Nipo X2
Nitasema - Nipo Bwanangu
Nitasema - Nipo X2
Nipo,Yesu, kukusikia.
Akiita, nitaitika X3
Nitafanya kazi ya Bwana
Nitafanya - fanya kazi
Fanya - fanya kazi
Fanya - kazi ya bwana
Nitafanya - fanya kazi
Fanya - fanya kazi
Fanya - kazi ya Bwana
Nitasema nipo Bwanangu
Nitasema - Nipo X2
Nitasema - Nipo Bwanangu
Nitasema - Nipo X2
Nipo,Yesu, kukusikia.
Akiita, nitaitika X3
Nitafanya kazi ya Bwana
Nitafanya - fanya kazi
Fanya - fanya kazi
Fanya - kazi ya bwana
Nitafanya - fanya kazi
Fanya - fanya kazi
Fanya - kazi ya Bwana
Support My Songbooks
Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.