Usiku Mkuu!

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Usiku Mkuu!

[1]
Usiku mkuu! Mtakatifu! Uko utulivu.
Birika amezaa Mwana.
Mtoto Mtakatifu ni Bwana
Alale amanini, Alale amanini

[2]
Usiku mkuu! Mtakatifu!
Wachungwa wa hufu, waliogopa kuwaona,
Malaika walipoimba
Kristo,amezaliwa, Kristo amezaliwa.

[3]
Usiku mkuu! Mtakatifu!
Ni Mwana wa Mungu.
Ametutetea neema, ili tukae na salama.
Yesu Kristo Mwokozi, Yesu Kristo Mwokozi