Yesu Ni Jina Nipendalo

[1]
Yesu ni jina nipendalo
Napenda kulisikia
Napenda kulitamka hilo

[chorus]
Yesu, nakupenda X3
Kwani ulinipenda

[2]
Jina hilo huniambia
Mwokozi alinipenda
Damu yake ilimwagika
Nipate kuokoka

[chorus]
Yesu, nakupenda X3
Kwani ulinipenda

[3]
Lanionyesha sifa yake
Iliyo katika Baba
Njia ijapokua kwa giza
Yesu huniongoza

[chorus]
Yesu, nakupenda X3
Kwani ulinipenda

[4]
Lanidhihirisha Yesu
Aliyenihurumia;
Laondoa taabu yangu,
Niwe wake daima

[chorus]
Yesu, nakupenda X3
Kwani ulinipenda