Peleka Jina La Yesu

[1]
Peleka jina la Yesu, Ko kote uendako
Litafurahisha moyo, Peleka uendako

[Chorus]
Dhamani, na damu Ni jina lake Yesu
Dhamini, na damu Ni jina lake Yesu

[2]
Peleka jina la Yesu, Liwe silaha zako
Utakapojaribiwa, Lilia jina hilo

[Chorus]
Dhamani, na damu Ni jina lake Yesu
Dhamini, na damu Ni jina lake Yesu

[3]
Yesu, jina la dhamani, Limenifurahisha
Nikiwasili mbinguni, Atanikaribisha
[Chorus]
Dhamani, na damu Ni jina lake Yesu
Dhamini, na damu Ni jina lake Yesu

[4]
Kwa jina la Bwana Yesu, Nimejiinamisha
Ndiye mfalme wa wafalme, Katika ya maisha[Chorus]
Dhamani, na damu Ni jina lake Yesu
Dhamini, na damu Ni jina lake Yesu