Yesu Msalabani

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Yesu Msalabani

[1]
Eloi, Eloi lama sabakthani?
Mungu wangu, mbona umeniacha
Wahurumie hawana fahamu
Roho Mtakatifu awajie x2

[Chorus]
Mwana wa..kondoo ndiye kiongozi
Mwana wa..kondoo ndiye kiongozi
Eloi...pata mateso mengi
Eloi...pata mateso mengi
Eloi... hmmm hmmm hmmm
Eloi... hmmm hmmm hmmm
Yesu...alitufia wanyonge
Yesu...alitufia wanyonge

[2]
Huyu ndiye mteule wangu
Aliye kufa akafufuka
Mariam, Salome na Magdalene
Walifika huko kaburini. x2

[Chorus]
Mwana wa..kondoo ndiye kiongozi
Mwana wa..kondoo ndiye kiongozi
Eloi...pata mateso mengi
Eloi...pata mateso mengi
Eloi... hmmm hmmm hmmm
Eloi... hmmm hmmm hmmm
Yesu...alitufia wanyonge
Yesu...alitufia wanyonge

[3]
Huyu ndiye mlinzi wangu
Anatulinda siku zote
Analisha roho zetu pia
Kwa neno lake takatifu mno x2

[Chorus]
Mwana wa..kondoo ndiye kiongozi
Mwana wa..kondoo ndiye kiongozi
Eloi...pata mateso mengi
Eloi...pata mateso mengi
Eloi... hmmm hmmm hmmm
Eloi... hmmm hmmm hmmm
Yesu...alitufia wanyonge
Yesu...alitufia wanyonge