Yesu Mponya

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Yesu Mponya

[1]
Yesu mponya Bwana wangu
Uchukue roho yangu
Niishipo duniani
Naishi majaribuni

[chorus]
Uchukue roho yangu Bwana
UnilindeYesu mponya Bwana
Uniongoze mbinguni hapo
Nyumbani mwa Baba Mungu

[2]
Ulikufa kwa kalvari
Ulifia wenye dhambi
Damu yako ilimwagwa
Kwa kutulipia deni

[chorus]
Uchukue roho yangu Bwana
UnilindeYesu mponya Bwana
Uniongoze mbinguni hapo
Nyumbani mwa Baba Mungu

[3]
Machafuko na mabaya
Majaribu hapa chini
Utuhurumie Yesu
Yesu Bwana wa salama

[chorus]
Uchukue roho yangu Bwana
UnilindeYesu mponya Bwana
Uniongoze mbinguni hapo
Nyumbani mwa Baba Mungu