Yesu Kurudi Mbinguni

[1. Yesu aliwaambia wanafunzi akisema
Bado muda mchache nakwenda
Nakwenda kwa Baba x2

[Chorus]
Nyumbani - mwa Baba,
Mna makao, mna makao
Mkijitahidi kuomba,
(Nafasi haingalikuwako) Ningallwaambia,
Alelluya - leo naenda
Kwenda mimi, kwenda mimi, Ku-anda-lia
Kisha nitarudi na ninyi, Kwa Baba

[2]
Msifadhaike mioyoni mwenu
Amini Mungu Baba, amini Amini na mimi x2

[Chorus]
Nyumbani - mwa Baba,
Mna makao, mna makao
Mkijitahidi kuomba,
(Nafasi haingalikuwako) Ningallwaambia,
Alelluya - leo naenda
Kwenda mimi, kwenda mimi, Ku-anda-lia
Kisha nitarudi na ninyi, Kwa Baba

[3]
Tomaso akamwambia, Bwana
Sisi hatujui
Uendako Baba, twajua je?
Twajua je njia x2

[Chorus]
Nyumbani - mwa Baba,
Mna makao, mna makao
Mkijitahidi kuomba,
(Nafasi haingalikuwako) Ningallwaambia,
Alelluya - leo naenda
Kwenda mimi, kwenda mimi, Ku-anda-lia
Kisha nitarudi na ninyi, Kwa Baba

[4]
Yesu akamjibu, mimi ndimi
Njia na ukweli na uzima
Mtu haji kwa Baba ila njia
Ya mimi x2

[Chorus]
Nyumbani - mwa Baba,
Mna makao, mna makao
Mkijitahidi kuomba,
(Nafasi haingalikuwako) Ningallwaambia,
Alelluya - leo naenda
Kwenda mimi, kwenda mimi, Ku-anda-lia
Kisha nitarudi na ninyi, Kwa Baba