YESU ATAKAPOKUJA

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

YESU ATAKAPOKUJA

[1]
Yesu atakapokuja, aje anikute ninafanya kazi,
“Nikimfanyia.”

[chorus]
Nitafurahi kuingia katika
Makao ya Mbinguni. x2
Nikistarehe kwake Bwana. (x2) x2
Nitasema asante Bwana.
Nitayaacha ya dunia, (x2)
Nikimetameta kwake Bwana. (x2) x2
Nitasema kwa herini nchi
Ya nchi na dhambi zako. (x2).

[2]
Yesu atakapokuja aje anikute ni msafi moyo,
“Namtegemea.”

[3]
E Yesu tuliza moyo, kama yanakupata maombi yangu,
“Nakutegea.”