Yesu Ataka Kianga

[1]
Yesu ataka kianga,
Kung'ara daima
Kwa Yesu niwe kianga
Po pote daima

[Chorus]
Kianga, Kianga
Kwa Yesu niwe kianga
Kianga, kianga
Niwe kianga kwake

[2]
Niwe mpenzi wa Yesu
Niwapende wote;
Kuwaonyesha wengine
Pendo siku zote

[Chorus]
Kianga, Kianga
Kwa Yesu niwe kianga
Kianga, kianga
Niwe kianga kwake

[3]
Bwana Yesu, nimwulize
Anisaidie
Moyo wangu utakaswe
Naye siku zote

[Chorus]
Kianga, Kianga
Kwa Yesu niwe kianga
Kianga, kianga
Niwe kianga kwake

[4]
Niwe kianga kwa Yesu
Kuwa mwaminifu;
Nitumike naye Yesu
Kisha nitamsifu

[Chorus]
Kianga, Kianga
Kwa Yesu niwe kianga
Kianga, kianga
Niwe kianga kwake