Yesu Asema Na Sisi Kweli

[1]
Yesu asema na sisi kweli
MIe chuoni mwangu
Ni kweli mimi ni mzabibu
Na ninyi ni matawi

[Chorus]
Bwana atalikata
Tawi lisilozaa
Bwana atalitia
Tawi hilo motoni

[2]
Na kama vile ninyi wanadamu
Mkatavyo matawi
Yasiozaa na kuyatupa
Na vivyo Baba yangu

[Chorus]
Bwana atalikata
Tawi lisilozaa
Bwana atalitia
Tawi hilo motoni

[3]
Yesu ni mwokozi wangu kweli
Nami sina mwengine
Yeye ni wangu, ni wangu kweli
Na yeye ni wa kweli

[Chorus]
Bwana atalikata
Tawi lisilozaa
Bwana atalitia
Tawi hilo motoni