YESU ALISEMA

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

YESU ALISEMA

[1]
Yesu alisema (kuwa) ninyi ni nuru (kweli)
Na iangaze (jamani mbele ya watu (wote).

Taa ni imani (yako) pia na matendo (mema) x2
Na yaongozwe (kweli) na Biblia. x2

[2]
Yesu alisema (kuwa) ninyi ni chumvi (kweli)
Na ikolee (jamani) mbele ya watu (wote).

[3]
Na wewe ndugu (yangu) ndivyo ulivyo (kweli)
Kama hapana (jamani) uanze sasa, (ndugu).