Yesu Alikufa

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Yesu Alikufa

[1]
Bwana alikufa, kwa ajili yangu
Ili tuokolewe, to-ka dhambini
Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema
Kwa fa-dhili zake ni za milele x2

[Chorus]
(oh..) Shangilia
(ah..) Shangilia
(ah..) Shangilia Yesu atupenda x2

[2]
Nami nafurahi, Yesu kaniokoa
Tutakuwa naye hu-ko mbinguni
Nawe ndugu yangu u-jiulize
Utakuwa wapi, a-takaporudi x2

[Chorus]
(oh..) Shangilia
(ah..) Shangilia
(ah..) Shangilia Yesu atupenda x2