Yesu Akija Tutafanya Nini

[1]
Yesu akija tutafanya nini X2
Moyo wangu sikia X2
Moyo wangu X4
Moyo wangu sikia X2

[2]
Dhambi zako umezikumbuka X2
Kama hivyo utubu X2
Kama hivyo X4
Kama hivyo utubu X2

[3]
Siku ya mwisho tutafanya nini X2
Ee nduguni tutubu X2
Ee nduguni X4
Ee nduguni tutubu X2

[4]
Je mwenzangu umekuwa tayari X2
Ikiwa hivyo nifuraha X2
Ikiwa hivyo X4
Ikiwa hivyo nifuraha X2