YASIKILIZENI HAYA

[1]
Yasikilizeni haya
Watu wa dunia yote
Mwokozi mara ya pili yuaja atuamue. x2

[2]
Haji tena kama kwanza
Na hali ya umaskini.

[3]
Hao wampendao sasa
Weupe hata weusi.

[4]
Siku hiyo ya hukumu
Mimi nitakuwa wapi,
Watakapoitwa wote, walalao kaburini. x2

[5]
Yesu Bwana nakuomba
Sasa unihurumie,
Kuitenda kazi yako, hata urudipo bapa! x2