Watu Wote Watangazieni

[1]
Watu wote watangazieni
Neno la Muumba Mungu
Wamwamini na kutubu dhambi. X2

[chorus]
(Wambi) wambieni watu wote
Leo na kesho
(wamwa) wamwamini Bwana Yesu
Kweli kabisa
(Naku) nakushika neno lake ,
Bwana milele
(Naku) nakuomba kwa Muumba wao

[2]
Watu wote wasiomwamini
Bwana atakaporudi
Watachomwa na shetani wao, X2

[chorus]
(Wambi) wambieni watu wote
Leo na kesho
(wamwa) wamwamini Bwana Yesu
Kweli kabisa
(Naku) nakushika neno lake ,
Bwana milele
(Naku) nakuomba kwa Muumba wao

[3]
Watu wote watakapotenda
Dhambi za kuchokoza Mungu
Watahukumiwa na mwokozi wao. X2

[chorus]
(Wambi) wambieni watu wote
Leo na kesho
(wamwa) wamwamini Bwana Yesu
Kweli kabisa
(Naku) nakushika neno lake ,
Bwana milele
(Naku) nakuomba kwa Muumba wao