WATU TUNAPOISHI

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

WATU TUNAPOISHI

[1]
Watu tunapoishi, katika dunia (hii),
Watu tunapoishi, katika dunia (hii)

Tumeisha sahau (ndugu)
Kuwa tuliumbwa na (Mungu). x2
Jamani huzuni kwetu tuhurumie Mungu x2

[2]
Kumbuka wenzetu wa (kale), walimsahau (Mungu).
Hata walipotea (wote) na maji ya mvua.