WAPENZI NI WAKATI

[1]
Wapenzi ni wakati wa nafasi sasa,
Kuyaandaa maisha kwa siku ya mwisho.

Hatujui ni wakati gani,
Atakapokuja Bwana kuhukumu.

[2]
Ewe unayetangatanga ukumbuke,
Utakutwa na Bwana uko maisha gani?

[3]
Ndipo utakapoambiwa kwake Bwana,
Ondoka hapa mimi wala sikujui.