Waisraeli Kutoka Misri

[1]
Watu wote shangilia
Mushukuruni Mungu
Shangilia mataifa
Kwa yeye mponya kweli

[chorus]
(Wali) walifika baharini
(Wali) waliona adui wakija
(Wali) walilalamika sana
(Naku) nakulia kwa Musa
(Wali) walilalamika sana
(Naku) nakulia kwa Musa

[2]
Ndio waisraeli
Wanatoka misri
Wataka kwenda Kanaani
Waliko ahidiwa

[chorus]
(Wali) walifika baharini
(Wali) waliona adui wakija
(Wali) walilalamika sana
(Naku) nakulia kwa Musa
(Wali) walilalamika sana
(Naku) nakulia kwa Musa

[3]
Jamaa tukumbuke kwamba
Siku hizi za mwisho
Tusiangaike sana
Kama wale Wayuda

[chorus]
(Wali) walifika baharini
(Wali) waliona adui wakija
(Wali) walilalamika sana
(Naku) nakulia kwa Musa
(Wali) walilalamika sana
(Naku) nakulia kwa Musa

[4]
Mungu alionyesha nguvu
Kakausha bahari
Iligawanyika kati
Wakapona Wayuda

[chorus]
(Wali) walifika baharini
(Wali) waliona adui wakija
(Wali) walilalamika sana
(Naku) nakulia kwa Musa
(Wali) walilalamika sana
(Naku) nakulia kwa Musa