VAENI SILAHA ZAKE MWOKOZI

[1]
Mwenzangu nakuambia umtafute
Yesu atawale moyoni, x2
Wakati unakwisha,
Utaenda wapi Mwokozi akirudi.

Vaeni, silaha zake Mwokozi
Tupigane vita na yule Shetani.

[2]
Sote tuwe na imani wokovu
Ni wetu Yesu asifiwe. x2
Mwenzangu unangoja nini
Yesu anasema, mpe roho yako.

[3]
Sikia wahubiri leo pia tunaimiba
Wokovu wa Mungu, x2
Usilie, mwenzangu usilie wakati
Utakufa ukiwa na dhambi.