UTUKUFU MBINGUNI

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

UTUKUFU MBINGUNI


[1]
Utukufu mbinguni, duniani amani,
Matendo yake Bwana, mwanadamu hawezi.

[chorus]
Haleluya Bwana (Haleluya)
Haleluya Bwana (utukufu mbinguni).

[2]
Ni miujiza ya ajabu, Haleluya ameni
Shangilieni wote, Haleluya ameni.