Twamsifu Mungu

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Twamsifu Mungu

[1]
Twamsifu Mungu, kwa Mwana wa pendo
Aliyetufia na kupaa juu

[chorus]
Aleluya, Usifiwe
Aleluya, Amen
Aleluya, Usifiwe
Utubariki

[2]
Twamsifu Mungu, kwa Roho mtukufu
Ametufunulia mwokozi wetu

[chorus]
Aleluya, Usifiwe
Aleluya, Amen
Aleluya, Usifiwe
Utubariki

[3]
Twamsifu Mwana, aliyetufia
Aliyetwaa dhambi akazifuta

[chorus]
Aleluya, Usifiwe
Aleluya, Amen
Aleluya, Usifiwe
Utubariki

[4]
Twamsifu Mungu, wa neema yote
Ametukomboa akatuongoza

[chorus]
Aleluya, Usifiwe
Aleluya, Amen
Aleluya, Usifiwe
Utubariki

[5]
Tuamshe tena, tujaze na pendo
Na moyoni uwashe moto wa Roho

[chorus]
Aleluya, Usifiwe
Aleluya, Amen
Aleluya, Usifiwe
Utubariki