TUTAMTUMIKIA BWANA

[1]
Namtangazia Shetani kwamba nimeokoka.

Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.
Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana Yesu.

[2]
Uvichukue vyote uniachie Yesu

[3]
Ewe rafiki yangu njoo kamtumikie Yesu.