Tunaomba Roho

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Tunaomba Roho

[1]
Sauti yako ee Bwana
Twaisikia utwitapo X2

[chorus]
Tunaomba Roho Mtakatifu
Ndiye aje atuongoze Bwana
Tunajua wakosaji sisi
Ewe Bwana utuokoe X2

[2]
Zikikoma siku zetu
Utatwita juu mbinguni X2

[chorus]
Tunaomba Roho Mtakatifu
Ndiye aje atuongoze Bwana
Tunajua wakosaji sisi
Ewe Bwana utuokoe X2

[3]
Duniani tu wageni
Tumo safarini wote X2

[chorus]
Tunaomba Roho Mtakatifu
Ndiye aje atuongoze Bwana
Tunajua wakosaji sisi
Ewe Bwana utuokoe X2

[4]
Tunaomba sana Bwana
Siku hiyo tukaribishe X2

[chorus]
Tunaomba Roho Mtakatifu
Ndiye aje atuongoze Bwana
Tunajua wakosaji sisi
Ewe Bwana utuokoe X2

[5]
Mungu Baba Mungu Mwana
Mungu Roho Mtakatifu X2

[chorus]
Tunaomba Roho Mtakatifu
Ndiye aje atuongoze Bwana
Tunajua wakosaji sisi
Ewe Bwana utuokoe X2