Tumesafishwa Kwa Damu

[1]
(Haleluya) Yesu Bwana wetu X2
Tumesafishwa kwa damu ya Yesu
Yesu Bwana wetu

[2]
(Haleluya) tulinunuliwa X2
Tumesafishwa kwa damu ya Yesu
Tulinunuliwa

[3]
(Haleluya) alituokoa X2
Tumesafishwa kwa damu ya Yesu
Alituokoa

[4]
(Haleluya) twaitwa wakristo X2
Tumesafishwa kwa damu ya Yesu
Twaitwa wakristo

[5]
(Haleluya) twaishi na kristo X2
Tumesafishwa kwa damu ya Yesu
Twaishi na kristo

[6]
(Haleluya) tu wana wa Mungu X2
Tumesafishwa kwa damu ya Yesu
Tu wana wa Mungu

[7]
(Haleluya) shetani ashindwe X2
Tumesafishwa kwa damu ya Yesu
Shetani ashindwe