Tubu Dhambi

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Tubu Dhambi

[1]
Bwana Yesu alipita mji wa Yeriko
Alimwona Batimayo naye nipofu. X2

[chorus]
Kwanini?...Ewe ndugu
Kwanini?...Hujatubu dhambi
Kwanini?...Ewe ndugu kweli
Tubu dhambi zako. X2

[2]
Zamani za kale nilikuwa mwenye dhambi
Bwana Yesu alikuta nikitangatanga. X2

[chorus]
Kwanini?...Ewe ndugu
Kwanini?...Hujatubu dhambi
Kwanini?...Ewe ndugu kweli
Tubu dhambi zako. X2

[3]
Mwito wa huruma kweli ndugu yangu
Usikawie kufika,Yesu akuita. X2

[chorus]
Kwanini?...Ewe ndugu
Kwanini?...Hujatubu dhambi
Kwanini?...Ewe ndugu kweli
Tubu dhambi zako. X2