Toka Utumwani

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Toka Utumwani

[1]
Toka utumwani ninasafiri kila
Siku, niingie Kanaani
Niliyoahidiwa, Tuimbe haleluya
Kweli tumefunguliwa na
Kwenda Kanaani, Kanaani ya kweli

[Chorus]
Daima nakwenda huko niingie, Kanaani
Niingie Kanaani niliyoahidiwa, Tuimbe Haleluya
Kweli tumefunguliwa na enda
Kanaani, Kanaani ya kweli x2

[2]
Toka Misri napitia kwenye
Giza katika milima mabonde
Jangwa bali sitachoka kamwe
Bwana ndiye nguvu zangu
Na kwenda Kanaani, Kanaani ya kweli

[Chorus]
Daima nakwenda huko niingie, Kanaani
Niingie Kanaani niliyoahidiwa, Tuimbe Haleluya
Kweli tumefunguliwa na enda
Kanaani, Kanaani ya kweli x2

[3]
Niliyotafuta yote niliyoahidiwa
Nifike Kanaani nchi ya ahadi kwa furaha
Nitaimba nikimsifu Yesu
Nakwenda Kanaani, Kanaani ya kweli

[Chorus]
Daima nakwenda huko niingie, Kanaani
Niingie Kanaani niliyoahidiwa, Tuimbe Haleluya
Kweli tumefunguliwa na enda
Kanaani, Kanaani ya kweli x2