Tembea Naye

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Tembea Naye

[1]
Tembea naye, Tembea naye
Tembea na Bwana Yesu

[Chorus]
Ingawa mchana, ingawa usiku
Tembea na Bwana Yesu,
Tembea na Bwana Yesu

[2]
Hata nyumbani, Tembea na Yesu tembea
Hata nyumbani, Tembea na Yesu tembea

[Chorus]
Ingawa mchana, ingawa usiku
Tembea na Bwana Yesu,
Tembea na Bwana Yesu

[3]
Kila mahali, Tembea na Yesu tembea
Kila mahali , Tembea na Yesu tembea

[Chorus]
Ingawa mchana, ingawa usiku
Tembea na Bwana Yesu,
Tembea na Bwana Yesu