Tarumbeta Yake Bwana

[1]
Tarumbeta yake Bwana italia
Na wale waliokufa wafufuke
Tutakaribishwa na malaika mbinguni
Na huko tutamuona mwana kondoo

[Chorus]
Asifiwe ni wapekee mwana kondoo
Asifiwe ni mwana kondoo
Asifiwe ni wa pekee mwana kondoo
Na huko tutamuona mwana kondoo

[2]
Shida zetu duniani zitakwisha
Tarumbeta yake Bwana ikilia
Tutakwenda kumlaki Bwana Yesu
Na huko tutamuona mwana kondoo

[Chorus]
Asifiwe ni wapekee mwana kondoo
Asifiwe ni mwana kondoo
Asifiwe ni wa pekee mwana kondoo
Na huko tutamuona mwana kondoo