Tangaza Milimani

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Tangaza Milimani

[1]
Tangaza milimani habari wokovu
Wakidhani ni uongo Yesu atatokea. X2

[chorus]
(Ndugu) Ujiuze nami nijiulize
(Dada) Ujiulize nami nijiulize
(Baba) Ujiulize nami nijiulize
(Sote) Ikiwatunamngojea Bwana

[2]
Yesu atakaporudi chini mara ya pili
Wale watakatifu wataona furaha. X2

[chorus]
(Ndugu) Ujiuze nami nijiulize
(Dada) Ujiulize nami nijiulize
(Baba) Ujiulize nami nijiulize
(Sote) Ikiwatunamngojea Bwana

[3]
Yesu atawatenga kondoo na mbuzi,
Kondoo kuume na mbuzi kushoto. X2

[chorus]
(Ndugu) Ujiuze nami nijiulize
(Dada) Ujiulize nami nijiulize
(Baba) Ujiulize nami nijiulize
(Sote) Ikiwatunamngojea Bwana

[4]
Wengi watamwomba twataka kutubu,
Bwana atawajibu wakati umekwisha. X2

[chorus]
(Ndugu) Ujiuze nami nijiulize
(Dada) Ujiulize nami nijiulize
(Baba) Ujiulize nami nijiulize
(Sote) Ikiwatunamngojea Bwana

[5]
Sasa ndio wakati wetu wa kutubu,
Tukidhani ni uongo yeye atatokea. X2

[chorus]
(Ndugu) Ujiuze nami nijiulize
(Dada) Ujiulize nami nijiulize
(Baba) Ujiulize nami nijiulize
(Sote) Ikiwatunamngojea Bwana