TAA YANGU

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

TAA YANGU

[1]
Taa yangu neno la Mungu, taa yako Neno la Mungu

Haitazimika, taa yangu, nikiishi duniani. x2
Angaza taa yangu niko hapa duniani. x2

[2]
Shetani akija kwangu, neno lako limulike.

[3]
Majaribu yakija kwangu, neno lako litayazima.

[4]
Neno lako Mwanga wangu, ndiyo njia ya uzima.