Sitaona Giza Yesu Ajapo

[1]
Sitaona giza Yesu ajapo X3
Kunyakua watu wake

[chorus]
Kunyakua watu wake X2
Sitaona giza Yesu ajapo,
Kunyakua watu wake.

[2]
Sitafadhaika Yesu ajapo X3
Kunyakua watu wake.

[chorus]
Kunyakua watu wake X2
Sitaona giza Yesu ajapo,
Kunyakua watu wake.

[3]
Sitalia tena Yesu ajapo X3
Kunyakua watu wake.

[chorus]
Kunyakua watu wake X2
Sitaona giza Yesu ajapo,
Kunyakua watu wake.

[4]
Nitamkaribisha Yesu ajapo X3
Kunyakua watu wake.

[chorus]
Kunyakua watu wake X2
Sitaona giza Yesu ajapo,
Kunyakua watu wake.