Siku Za Mwisho

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Siku Za Mwisho

[1]
Siku za mwisho ni nyakati hizi
Wenye imani wamewekwa
Kati, imani yao ijaribiwe
Bwana naomba unisaidie X2

[chorus]
Vumilia roho yangu, majaribu ni kama moto
Inayochoma imani yangu, Bwna naomba unisaidie X2

[2]
Naja kwako (Bwana) shetani hapana
Ndani yangu niwe salama
Unifiche nisionekane
Bwana naomba unisaidie X2

[chorus]
Vumilia roho yangu, majaribu ni kama moto
Inayochoma imani yangu, Bwna naomba unisaidie X2

[3]
Roho yangu usiogope
Kuja kwake Roho wa kweli
Jitakase mbali na dhambi
Bwana naomba unisaidie X2

[chorus]
Vumilia roho yangu, majaribu ni kama moto
Inayochoma imani yangu, Bwna naomba unisaidie X2

[4]
Ukilemewa na majaribu
Usimkubali Mwovu shetani
Mfukuze kwa jina la Yesu
Bwana naomba unisaidie X2

[chorus]
Vumilia roho yangu, majaribu ni kama moto
Inayochoma imani yangu, Bwna naomba unisaidie X2