SIKU YA MWISHO

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

SIKU YA MWISHO

[1]
Siku ya mwisho Yesu atakuja,
Kuwahukumu watu x2

Hao watalia wakisaga meno,
Wakisema Yesu tuhurumie
Mbona tuliamini m.

[2]
Nchi nzima itatetemeka,
Akifika Bwana Yesu. x2

[3]
Baba na ukumbuke,
Mama na ukumbuke. x2