Shangilia

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Shangilia

[1]
Bwana alikufa, kwa ajili yangu
ili tuokolewe, to-ka dhambini
Mshukuruni Bwana, Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fa-dhili zake ni za milele

[Chorus]
(oh..) Shangilia
(ah..) Shangilia
(ah..) Shangilia Yesu akupenda x2

[2]
Nami nafurahi, Yesu kaniokoa
Tutakuwa naye, hu-ko mbinguni
Nawe ndugu yangu, u-jiulize
Utakuwa wapi, a-takaporudi x2

[Chorus]
(oh..) Shangilia
(ah..) Shangilia
(ah..) Shangilia Yesu akupenda x2