Safari Ya Kungoja

[1]
Safari ya kungoja mtu wa Mungu
Ya kwenda mbinguni ilipo ahidiwa
Sisi tuwasafiri asema
Bwana Safari ya tungoja

[Chorus]
Nawe utakwenda mbinguni
Wokovu ndiyo njia yako
Nawe utakwenda mbinguni
Ndiyo makao yako

[2]
Niujumbe kwako wee mtu
Mungu Yesu akuita aliye tufia
Ujiunge nasi katika safari

[Chorus]
Nawe utakwenda mbinguni
Wokovu ndiyo njia yako
Nawe utakwenda mbinguni
Ndiyo makao yako

[3]
Hapa duniani kuna shida nyingi
Tamaa za mwili na ugumu wa maisha
Njoo kwake Yesu ili akuokoe

[Chorus]
Nawe utakwenda mbinguni
Wokovu ndiyo njia yako
Nawe utakwenda mbinguni
Ndiyo makao yako