Ombi

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Ombi

[1]
Mungu wetu mwaminifu
Ametuahidi sisi
Kusikia na kujibu
Kama tukiomba kwake

[chorus]
(Mungu) Mungu atakusikia
(Kama) Kama tukiomba kwake
(Twende) Twende sasa na imani
(Kweli) Kweli atatusikia X2

[2]
Mungu atatupa sisi
Vitu vyote kututosha
Kitu gani ni kizuri
Tutakipokea kwake

[chorus]
(Mungu) Mungu atakusikia
(Kama) Kama tukiomba kwake
(Twende) Twende sasa na imani
(Kweli) Kweli atatusikia X2

[3]
Tusiogope kumwambia
Mahitaji yetu yote
Au makubwa au madogo
Anapenda kusikia

[chorus]
(Mungu) Mungu atakusikia
(Kama) Kama tukiomba kwake
(Twende) Twende sasa na imani
(Kweli) Kweli atatusikia X2

[4]
Kwa furaha au huzuni
Kila nchi na saa zote
Tunaweza kumwombea
Naye atatusikia

[chorus]
(Mungu) Mungu atakusikia
(Kama) Kama tukiomba kwake
(Twende) Twende sasa na imani
(Kweli) Kweli atatusikia X2