Nyumba Ya Baba

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Nyumba Ya Baba

[1]
Twende zote juu nyumba ya Baba
Nyumba ya Baba, Nyumba ya Baba x2
Kwenye furaha, furaha, furaha

[2]
Tutamwona Yesu juu nyumba ya Baba
Nyumba ya Baba, Nyumba ya Baba x2
Kwenye furaha, furaha, furaha