Njooni Tumwabudu Mungu

[1]
Watu wote duniani,
Njooni tumwabudu Mungu
Yatupasa tukumbuke,
Siku hizi ni za mwisho

[Chorus]
Na mimi..mimi, na wawe.. wewe
Njoo tumwabudu Mungu

[2]
Yatupasa tukumbuke,
Siku lle ya Bwana Yesu
Alikufa msalabani,
Akatuondolea dhambi

[Chorus]
Na mimi..mimi, na wawe.. wewe
Njoo tumwabudu Mungu

[3]
Aliwafia wenye dhambi,
Wenye dhambi waokolewe
Kwa hivyo ndugu zangu,
Yatupasa tumkumbuke

[Chorus]
Na mimi..mimi, na wawe.. wewe
Njoo tumwabudu Mungu

[4]
Ndugu zangu namwambia,
Mambo yale ya kweli
Siku hiyo ya mwisho,
Mtalia machozi

[Chorus]
Na mimi..mimi, na wawe.. wewe
Njoo tumwabudu Mungu