Njia Ile Ni Nyembamba

[1]
Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani
Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani

[2]
Na wamama wanaweza kuiona njia hiyo
Njia hiyo ni nyembamba iendayo uzimani

[3]
Na vijana wanaweza kuiona njia hiyo
Njia hiyo ni nyembamba iendayo uzimani

[4]
Na wazee wanaweza kuiona njia hiyo
Njia hiyo ni nyembaba iendayo uzimani