NITAKWENDA WAPI

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

NITAKWENDA WAPI

[1]
Nitakwenda wapi siku ya mwisho?
Siku ile we nitasikia ondoka.

[chorus]
Nitafanya nini mimi,
I takapolia tarumbeta,
Nitafanya nini mimi,
Nitakapofika kitini pa Mwokozi
Naomba Mungu nihurumie.

[2]
Kubatizwa nilibatizwa mimi,
Siku ile we nitasikia ondoka.

[3]
Maisha yangu yana dhambi nyingi mimi,
Siku ile nitasikia ondoka.