NINA SAFARI

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

NINA SAFARI

[1]
Nina safari ya kwenda mbali, Mbinguni kwa Baba
Bwana anasema tuwe imara, hakika tutashinda.

Kengele inalia njoo uketi ndugu,
Njoo, njoo,njoo, njoo. x2
Bila tiketi ndugu hutakwenda. x2

[2]
Waisraeli waliondoka nchi ya Misri,
Walielekea nchi ya mbali, walifika wachache.

[3]
Baba na Mama mnasemaje, kwenda naye Yesu,
Bwana anasema tuwe imara, hakika tutashinda