Nimekubali Kumfuata Yesu

[1]
Nimekatashauri kumfuata Yesu X3
Sitarudi nyuma kamwe X2

[2]
Msalaba mbele dunia nyuma X3
Sitarudi nyuma kamwe X2

[3]
Baba na mama wakinitenga X3
Sitarudi nyuma kamwe X2

[4]
Rafiki zangu wakinicheka X3
Sitarudi nyuma kamwe X2

[5]
Nimekubali kumfuata Yesu X3
Sitarudi nyuma kamwe X2