Nimechoka Nazo Dhambi

[1]
Nakujia ni mwenye dhambi
Nipokee kwa pendo lako X2

[chorus]
(Yesu) Nimechoka nazo dhambi
(Bwana) Bwana Yesu nipokee.
(Yesu) Nimechoka nazo dhambi
(Bwana) Bwana Yesu nipokee.

[2]
Ulipigwa na misumari
Kwa ajili ya dhambi zetu. X2

[chorus]
(Yesu) Nimechoka nazo dhambi
(Bwana) Bwana Yesu nipokee.
(Yesu) Nimechoka nazo dhambi
(Bwana) Bwana Yesu nipokee.

[3]
Damu yako ilimwagika
Kwa ajili ya dhambi zetu .X2

[chorus]
(Yesu) Nimechoka nazo dhambi
(Bwana) Bwana Yesu nipokee.
(Yesu) Nimechoka nazo dhambi
(Bwana) Bwana Yesu nipokee.

[4]
Ulikufa msalabani
Ukateswa na wayahudi.X2

[chorus]
(Yesu) Nimechoka nazo dhambi
(Bwana) Bwana Yesu nipokee.
(Yesu) Nimechoka nazo dhambi
(Bwana) Bwana Yesu nipokee.

[5]
Ulipaa juu mbinguni
Kutuandalia makao.X2

[chorus]
(Yesu) Nimechoka nazo dhambi
(Bwana) Bwana Yesu nipokee.
(Yesu) Nimechoka nazo dhambi
(Bwana) Bwana Yesu nipokee.