Nikitafakari Upendo

[1]
Nikitafakari upendo wa Yesu
Duniani sitarudi tena x2

[Chorus]
Oh! Bwana Yesu uniongoze
Duniani kuna majaribu tele x2

[2]
Nilipokufuata Bwana Yesu
Ulimwengu ulinidharau sana x2

[Chorus]
Oh! Bwana Yesu uniongoze
Duniani kuna majaribu tele x2

[3]
Sitaona haya kukuimbia
Ingawa adui ananizunguka x2

[Chorus]
Oh! Bwana Yesu uniongoze
Duniani kuna majaribu tele x2