NIKIKUMBUKA MATESO

[1]
Nikikumbuka mateso yake Bwana Yesu,
Ujasiri mwingi hakika alionyesha, huruma ya
Pekee ilimsababisha m, Mwokozi kufa mtini.

Ee, mwanadamu mtazame Yesu mm,
Kaangikwa juu msalabani, ni wokovu wako
Ni wokovu wetu, mtazame Yesu ndiye hakika.

[2]
Nikikumbuka utii wake Bwana Yesu, mbele zake
Mungu hakika ni wa kushangaza kwa maana kajitoa
Kaachia utukufu m, kwa ajili ya wenye dhambi.