NIJALIE

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

NIJALIE

[1]
Nijalie (ee Bwana)
Ninapokwimbia (wewe Mwenyezi)
Nijalie (ee Bwana) nifikie hadi siku (ya mwisho).

[chorus]
Duniani (Mungu wangu)
Mimi ninaona (siku fupi)
Ee nijalie (Baba)
Naomba nijalie (Mungu).
Nikaimbe na mimi mbinguni na malaika. x2

[2]
Nijalie (ee Bwana) ninapoishi katika (dunia)
Ninapo -kumbana na matatizo (ya dunia).

[3]
Nijalie (ee Bwana) mwenendo wangu wa hapa (duniani)
Nijalie (ee Bwana) kushika wosia wako (Mwenyezi).