Ndugu Wa Kirohoni

[1]
Ndugu wa kirohoni
Mliokombolewa
Tafakarini sana
yatupasayo

[chorus]
(Wapenzi) - Wapenzi wake Yesu
tuliokombolewa
Tujitoe kabisa
wengi waponywe

[2]
Sikuitatimia
Tutakapoulizwa
wale wa nyumba zetu
Na majirani.

[chorus]
(Wapenzi) - Wapenzi wake Yesu
tuliokombolewa
Tujitoe kabisa
wengi waponywe

[3]
Tujitoeni ndugu
Tukahubiri Injli
Atutumie Roho
Kuponya wengi.

[chorus]
(Wapenzi) - Wapenzi wake Yesu
tuliokombolewa
Tujitoe kabisa
wengi waponywe

[4]
Wasiokombolewa
Ni wengi vijijini
Wataokolewaje
Tukiogopa?

[chorus]
(Wapenzi) - Wapenzi wake Yesu
tuliokombolewa
Tujitoe kabisa
wengi waponywe

[5]
Bwana alijitoa
Akapotewa mengi
Ili atuokoe
Tusiwe waoga.

[chorus]
(Wapenzi) - Wapenzi wake Yesu
tuliokombolewa
Tujitoe kabisa
wengi waponywe