Ndoa Mtakatifu

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Ndoa Mtakatifu

[1]
Twawapa mafunzo, kwa ndugu na dada
Watakao unganishwa pamoja x2

[Chorus]
Neema ya Bwana Yesu mwokozi
lkae nanyi milele
Mungu azidi kuwabarikia
Awe ngao yenu na mlinzi wenu x2

[2]
Mlivyopendana hapo mbeleni
Mzidi kupendana hata maishani mwenu x2

[Chorus]
Neema ya Bwana Yesu mwokozi
lkae nanyi milele
Mungu azidi kuwabarikia
Awe ngao yenu na mlinzi wenu x2

[3]
Nawe ndugu mpendwa, mpende mwenzio
Atakayekuwa ubavuni mwako. x2

[Chorus]
Neema ya Bwana Yesu mwokozi
lkae nanyi milele
Mungu azidi kuwabarikia
Awe ngao yenu na mlinzi wenu x2